Safari YA Juma: Riwaya YA Kijana Wa Kiafrika Aliyefunga Safari Ili Kumtafuta Mungu Nchini Tanzania by Edwin W. Scroggins 0000-00-00 00:00:00

Find Deals & eBook Download Safari YA Juma: Riwaya YA Kijana Wa Kiafrika Aliyefunga Safari Ili Kumtafuta Mungu Nchini Tanzania

by Edwin W. Scroggins
Book Views: 53
Safari YA Juma: Riwaya YA Kijana Wa Kiafrika Aliyefunga Safari Ili Kumtafuta Mungu Nchini Tanzania by Edwin W. Scroggins
Author
Edwin W. Scroggins
Publisher
Createspace Independent Publishing Platform
Date of release
Pages
134
ISBN
9781499359862
Binding
Paperback
Illustrations
Format
PDF, EPUB, MOBI, TXT, DOC
Rating
5
43
Verified safe to download
See available formats

Book review

UNAWEZA KUTEMBEA UMBALI KIASI GANI UKIWA PEKU? Mwandishi wa “Safari ya Juma” anakualika uifuatilie simulizi ya kijana Juma aliyetembea peku umbali wa kilomita 1529 kutoka Mbeya iliyopo kusini hadi Arusha iliyopo kaskazini mwa Tanzania. Masaa kadhaa kabla ya kufariki, Juma alimwahidi mamake kuwa angemtafuta mzungu mmishenari aliyeko Mbeya ili amweleze habari za Yesu. Juma agundua kua yule mzungu ameishaondoka Mbeya kuelekea Arusha na hivyo hana budi kumfuata huko ili kuitunza ahadi aliyomwahidi mama yake ambaye sasa ni marehemu. Katika safari hii hatari, Juma akumbana na vipingamizi vingi vya kimwili na kiroho pia. Utamhurumia anapokumbana na chui na kulengwa na majangili, anapotekwa na kutumikishwa kiutumwa. Je! atasalimika kutoka katika mikono ya mbwa-mwitu wakali wanaomwinda msituni? Akiwa amepoteza fahamu na ni mgonjwa amelala kando ya barabara, Je! kuna matumaini yeyote ya kuokolewa? Je, atafika Arusha? Soma kitabu hiki ili kupata majibu!

Find and Download Book — Safari YA Juma: Riwaya YA Kijana Wa Kiafrika Aliyefunga Safari Ili Kumtafuta Mungu Nchini Tanzania

Click one of share button to proceed download:
Choose server for download:
Safari YA Juma: Riwaya YA Kijana Wa Kiafrika Aliyefunga Safari Ili Kumtafuta Mungu Nchini Tanzania
8 mb
2 min
PDF
Safari YA Juma: Riwaya YA Kijana Wa Kiafrika Aliyefunga Safari Ili Kumtafuta Mungu Nchini Tanzania
3 mb
3 min
ePub
Safari YA Juma: Riwaya YA Kijana Wa Kiafrika Aliyefunga Safari Ili Kumtafuta Mungu Nchini Tanzania
11 mb
1 min
TXT
Safari YA Juma: Riwaya YA Kijana Wa Kiafrika Aliyefunga Safari Ili Kumtafuta Mungu Nchini Tanzania
6 mb
5 min
MOBI
Get It!
If not downloading or you getting an error:
  • Try another server.
  • Try to reload page — press F5 on keyboard.
  • Clear browser cache.
  • Clear browser cookies.
  • Try other browser.
  • If you still getting an error — please contact us and we will fix this error ASAP.
Sorry for inconvenience!
For authors or copyright holders
Amazon Affiliate

Go to Removal form

Leave a comment

Readers reviews